Assalam alaykum! Katika hii broad hebu tujadili kuhusu dini yetu, kama kuelimishana, da'awa, kukumbushana, kujenga udugu wa kiiman na meng mfano wake. CAUTION! Tuchunge lugha kwani tutafika ulizwa mbele ya Allah kwa kila tendo tutakali lifanya..
Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayrah (رضي الله عنه) kwamba Mtume (صلى الله عليه وآله وسلم ) amesema: ((Allaah Aliyetukuka Amesema: Watu watatu Mimi Nitakhasimiana nao Siku ya Qiyaamah: Mtu aliyempa nduguye ahadi kwa kutumia Jina Langu kisha akavunja ahadi hiyo. Mtu aliyemuuza muungwana na akala thamani yake. Na mtu aliyemwajiri mwajiriwa naye akammalizia kazi yake, wala asimpe ujira wake))
3 33Tunaomba mchango kwa kutuandikia maoni yako kuhusiana na hi page, ndika kwenye kiungo hapo chini MAONI YA WAGENI post updates
Ukaribisho!
Assalam alaykum! Kama ndio mara yako kuingia katika site hii, napenda niseme kwako karibu sana na nategemea ndo patakua madumu yako. F.m kama kuna suala lolote kuhusiana na hii site usisite kuwasiliana nasi kupitia link mwisho wa page
Karibu
Poa