Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayrah (رضي الله عنه) kwamba Mtume (صلى الله عليه وآله وسلم ) amesema: ((Allaah Aliyetukuka Amesema: Watu watatu Mimi Nitakhasimiana nao Siku ya Qiyaamah: Mtu aliyempa nduguye ahadi kwa kutumia Jina Langu kisha akavunja ahadi hiyo. Mtu aliyemuuza muungwana na akala thamani yake. Na mtu aliyemwajiri mwajiriwa naye akammalizia kazi yake, wala asimpe ujira wake))
3 30Tunaomba mchango kwa kutuandikia maoni yako kuhusiana na hi page, ndika kwenye kiungo hapo chini MAONI YA WAGENI post updates