Insane
IMG 20150412 071513 5Akhtaar
Home
ABOUT ME
04/05/24
UPLOAD & DOWNLOAD BOOK HERE
* Other books (4/4)
Download/upload any acceptable books
* Medical books (0/0)
Upload/download,...share Lectures with your fellows
MATANGAZO YA BIASHARA
* Bidhaa zingine (2/2)
Tangaza biashara yako hapa
* Law products (0/0)
Tangaza biashara yako hapa
* Manufactured (0/0)
Tangaza biashara yako hapa
JUKWAA LA SIASA
* Viongozi bora (0/0)
Yupi ni bora kiongozi....au ni bora kuwa na kiongozi?
* Utawala bora (0/0)
Majadiliano kuhusiana na utawala bora
JUKWAA LA ELIMU
* Kuhusu elimu (3/6)
Hebu tuongee kuhusu elimu ya Tanzania
JUKWAA LA AFYA
* HIV/AIDS (0/0)
Kuhususu ukimwi na ugonjwa wa UKIMWI
* Sexual reproductive health (0/0)
Kuhusiana na afya ya uzazi
* Tahadhari (1/1)
Tafadhali chunga lugha unayotumia, matusi kejeli na maneno mfano wa hayo ni onyo- vinginevyo tutakuchukulga hatua!
JUKWAA LA IMANI
* Christian (0/0)
Ushauri wa kiimani, msaada na mengi kuhusu christian believe
* Uislam (2/2)
Assalam alaykum! Katika hii broad hebu tujadili kuhusu dini yetu, kama kuelimishana, da'awa, kukumbushana, kujenga udugu wa kiiman na meng mfano wake. CAUTION! Tuchunge lugha kwani tutafika ulizwa mbele ya Allah kwa kila tendo tutakali lifanya..
* islamic nasheeds (1/1)
sikiliza nasheeds toka kwa ..zain bikh, maher zain ,shaykh rashid alofas, sami yusuph & so on

Online: Guests: 1
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ (رضي الله عنه)  عَنْ النَّبِيِّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ: ((قَالَ اللَّهُ تَعَالى: ثلاَثَةٌ أَنَا خَصْمُهُمْ يَوْمَ الْقِيَامَةِ: رَجُلٌ أَعْطَى بِي ثُمَّ غَدَرَ, وَرَجُلٌ بَاعَ حُرًّا فَأَكَلَ ثَمَنَهُ, وَرَجُلٌ اسْتَأْجَرَ أَجِيرًا فَاسْتَوْفَى مِنْهُ وَلَمْ يُعْطِ أَجْرَهُ)) البخاري

Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayrah (رضي الله عنه)  kwamba Mtume (صلى الله عليه  وآله وسلم ) amesema: ((Allaah Aliyetukuka Amesema: Watu watatu Mimi  Nitakhasimiana nao Siku ya Qiyaamah: Mtu aliyempa nduguye ahadi kwa kutumia Jina Langu kisha akavunja ahadi hiyo. Mtu aliyemuuza muungwana na akala thamani yake. Na mtu aliyemwajiri mwajiriwa naye akammalizia kazi yake, wala asimpe ujira wake))

3
34Tunaomba mchango kwa kutuandikia maoni yako kuhusiana na hi page, ndika kwenye kiungo hapo chini
MAONI YA WAGENI
post updates

MATIBABU YA CHUNUS (TREATMENT OF ACNE)

Maelezo na matibabu ya chunus (acne)

Lengo la tiba ya chunusi ni kupunguza uzalishaji wa mafuta ya sebum usoni pia kutibu vijidudu vya bakteria ambavyo hushambulia ngozi ya uso na kusababisha viupele vinavyowasha na wakati mwingine kuleta maumivu usoni.
Uchaguzi wa dawa hutegemea na jinsi ugonjwa ulivyoshambulia uso (severity), sehemu iliyoharibika huhitaji kufanyiwa usafi wa kutosha kila siku tena uwe wa ziada zaidi ya kawaida kwa kutumia sabuni zenye antibaotiki, kubadilisha tabia ya chakula, matumizi ya kemikali za Sulfur salicylic acid na Resorcinol haisaidii kuondoa chunusi.
Matibabu hugawanywa sehemu kuu tatu ambazo kwanza ni wale wenye chunusi kidogo (mild acne), pili wenye chunusi za wastani (moderate acne) na tatu ni wale walioathirika sana yaani hali yao ni mbaya (severe acne).
Wale wenye vipele au chunusi kidogo hutumia dawa moja tu ambayo hujulikana kama Benzoyl peroxide au pia huchanganya na dawa ya antibaotiki, mgonjwa hutumia kila siku kwa kipindi cha wiki sita na zaidi.
Pia dawa kama Adapalene gel na nyingine kama Tazarotene gel hutumika. Dawa zipo nyingi nyingine ni kama vile Azelaic acid cream na Glycolic acid.
MADHARA YA DAWA
Madhara ya hizi dawa siyo makubwa na baadhi ni kama vile uso kukauka sana na baadhi ya dawa hizo hutumika kwa wanawake kipindi ambacho hawana mimba.
Lakini kwa wanawake wajawazito wasitumie dawa zozote bila ushauri wa daktari kwa kuwa baadhi ya dawa ni hatari kwa akinamama wenye mimba.
Wale wenye chunusi za wastani huhitaji dawa za antibaotiki kama vile Tetracycline, Doxycline, Minocycline na Erythromycin.
Dawa hizi hutumika kwa kipindi kisichopungua wiki 12 na hutolewa na daktari baada ya kuridhika kuwa haziwezi kumuathiri mgonjwa, hivyo basi naomba msinunue dawa hizi hovyo.
Wale wenye chunusi nyingi dawa ya kunywa ya Isotretinoin ndiyo dawa sahihi na hutibu vizuri na hutumika baada ya kupima uzito na hutumika kwa wiki 16 hadi 20. Itumike kwa ushauri wa daktari.

Back to posts
Comments:
[2014-08-04 18:47:36] Akhtaar :

Tunashukuru kwa kutujuza!


UNDER MAINTENANCE


Follow @Salehe93

How does this site looks for you?

For more information call;