Tangia kuanza kwa huu utaratibu kwa awamu ya kwanza walipelekwa wale waliomaliza kidato cha sita ....kwa awamu hii ya mwaka pia waliomaliza mafunzo ya uwalimu kukawa na tetesi kuwa hata vyuo vya afya vitakua ni mwaka huu!!! Jaman mwenye uwakika na hili jambo atujulishe basi?