Assalam alaykum! Katika hii broad hebu tujadili kuhusu dini yetu, kama kuelimishana, da'awa, kukumbushana, kujenga udugu wa kiiman na meng mfano wake. CAUTION! Tuchunge lugha kwani tutafika ulizwa mbele ya Allah kwa kila tendo tutakali lifanya..
Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayrah (رضي الله عنه) kwamba Mtume (صلى الله عليه وآله وسلم ) amesema: ((Allaah Aliyetukuka Amesema: Watu watatu Mimi Nitakhasimiana nao Siku ya Qiyaamah: Mtu aliyempa nduguye ahadi kwa kutumia Jina Langu kisha akavunja ahadi hiyo. Mtu aliyemuuza muungwana na akala thamani yake. Na mtu aliyemwajiri mwajiriwa naye akammalizia kazi yake, wala asimpe ujira wake))
3 47Tunaomba mchango kwa kutuandikia maoni yako kuhusiana na hi page, ndika kwenye kiungo hapo chini MAONI YA WAGENI post updates
twala bil ilmu faridhaatul aala kul muslim wa muslimat
twala bil ilmu faridhaatul aala kul muslim wa muslimat utamjibu nini Allah kama unamwabudu pasina elimu hali ya kuwa katurahisisha njia ya kutafuta ilmu.....kazi kwako sasa!! hii site ina mengi ya kukujuza kuhusu dini yetu shuma alaykum